TUJUZANE BLOG

Tanzania Entertainment News,Politics News ,Celebrity Gossip and Live Updates

PAKUA APP YETU YA TUJUZANE

PAKUA APP YA TUJUZANE KUPATA NYIMBO MPYA IKO PLAY STORE

Saturday, February 20, 2021

Yanga yamalizana na Mtibwa Sugar leo yamtandika bao 1

 


Dakika ya 79 Yanga wanapeleka mashambulizi kwa Mshery
Dakika ya 73 Gooooool Carinhos 
Dakika ya 67 anatoka Riphat Msuya anaingia Haruna Chanongo 
Dakika ya 66 Fiston anaingia anatoka Sarpong na Farid Mussa anaingia anatoka Kaseke
Dakika ya 58 Dikson Daud anaokoa mpira  kufanya iwe kona 
Dakika ya 55, kibendera anaonyesha mpira urushwe kwenda Mtibwa Sugar, mwamuzi wa kati anasema faulo ipigwe kwenda Yanga anapiga Kessy
Dakika ya 53 Mustapha anachezewa faulo 
Dakika ya 50 Kaseke anachezewa faulo nje kidogo ya 18
Dakika ya 49 Sarpong on target inaokolewa na Mshery
Dakika ya 46 Makarani off target kwa Shikhalo
Dakika ya 45 Mshery anapeleka mashambulizi kwa Shikhalo
Kipindi cha pili kimeanza 

Kipindi cha kwanza 

Uwanja wa Mkapa


Mapumziko,  Uwanja wa Mkapa

Yanga 0-0 Mtibwa Sugar 

Zinaongezwa dakika 4

Dakika ya 45 Mtibwa Sugar wanapata faulo

Dakika ya 44 Nchimbi anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo Kessy

Dakika ya 42 Mshery anaokoa hatari ndani ya 18

Dakika ya 39 Mchezaji wa Mtibwa Sugar anatolewa akiwa amebebwa Kwenye machela

Dakika ya 37 Fei Toto anafanya jaribio nje ya 18 linakwenda juu ya langi

Dakika ya 35 Mshery anaokoa hatari,Yanga wanapiga kona inaokolewa 

Dakika ya 29 Mtibwa Sugar wanakosa nafasi ya kufunga

Dakika ya 28 Mshery anapewa huduma ya Kwanza 

Dakika ya 25 Fei anachezewa faulo 

Dakika ya 24 Mshery anaokoa mashambulizi 


Dakika ya 20 Mtibwa Sugar wanapeleka mashambulizi Yanga


Dakika ya 15 Yanga wanapeleka mashambulizi kwa Mtibwa Sugar