TUJUZANE BLOG

Tanzania Entertainment News,Politics News ,Celebrity Gossip and Live Updates

PAKUA APP YETU YA TUJUZANE

PAKUA APP YA TUJUZANE KUPATA NYIMBO MPYA IKO PLAY STORE

Friday, February 19, 2021

Rais Magufuli "Tusitishane na Kuogopeshana, Kufa Tutakufa tu Unaweza Ukafa kwa Malaria, Kansa"

 


 "Tusitishane na kuogopeshana, tutashindwa kufika. Inawezekana kuna mahali tumemkosea Mungu, tunapata jaribu kama Waisraeli walivyokuwa wakienda Kanani,"

"Tusimame na Mungu ndugu zangu Watanzania. Kufa tutakufa tu Unaweza ukafa kwa Malaria, Kansa kwasababu kufa kupo." - Rais Magufuli akizungumza katika ibada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Marehemu Balozi John William Kijazi.