TUJUZANE BLOG

Tanzania Entertainment News,Politics News ,Celebrity Gossip and Live Updates

PAKUA APP YETU YA TUJUZANE

PAKUA APP YA TUJUZANE KUPATA NYIMBO MPYA IKO PLAY STORE

Monday, February 22, 2021

Harmonize Afunguka Alichokuwa Anakikosa kwa Sarah na Sasa Anakipata kwa Kajala

 


Harmonize afunguka alichokuwa anakikosa kwa Sarah na sasa anakipata kwa Kajala

 
harmonize ameandika haya: 

Nilikuambia Lakini Dada WINNIE FRIDA @kajalafrida Hizi Mambo Za Kuamshana Mapema Supu Ya Samaki Sijuwi Breakfast Mimi Sijazoea Ona Sasa Kitambi Ndo Hicho ....!!!! Mie nimetokea Geto Tunapigaga Mlo 1 Tena Saa 10:30 Yani Mchana Kidogo Jioni Kidogo Tunaitaga (PASI NDEFU ) Maji Mengi....!!!! WAUNI CHUPA LIPO KWENYE BIO HAPO ...!!! ๐Ÿ๐Ÿ FT @anjella_tz

 
Kajala Akamjibu Hivi:
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Breakfast is the most important meal so utazoea tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚