TUJUZANE BLOG

Tanzania Entertainment News,Politics News ,Celebrity Gossip and Live Updates

PAKUA APP YETU YA TUJUZANE

PAKUA APP YA TUJUZANE KUPATA NYIMBO MPYA IKO PLAY STORE

Saturday, February 20, 2021

Breaking News: Mume Wa Vicky Kamata, Dk Likwelile Afariki Dunia

 MUME wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi CCM, Vicky Kamata, Dk. Servacius Likwelile amefariki dunia leo, Februari 20, 2021. Dk. Likwelile amewahi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango.Dk. Likwelile alifunga ndoa na Vicky Kamata, Machi 19, 2016. Taarifa za awali zinaeleza kuwa Likwelile amefariki dunia akiwa nyumbani kwake, Mbweni jijini Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitakujia