TUJUZANE BLOG

Tanzania Entertainment News,Politics News ,Celebrity Gossip and Live Updates

PAKUA APP YETU YA TUJUZANE

Tuesday, January 12, 2021

Breaking Tume ya mawasiliano Uganda yafunga mitandao yote ya kijamii

 

Tume ya Mawasiliano ya Uganda (UCC) Jumanne iliagiza makampuni yanayotoa huduma ya internet kufunga mitandao ya kijamii na app zote za mawasiliano siku mbili tu kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika nchini humo.