TUJUZANE BLOG

Tanzania Entertainment News,Politics News ,Celebrity Gossip and Live Updates

PAKUA APP YETU YA TUJUZANE

Tuesday, January 12, 2021

Aggrey Morris aagwa Kifalme, watu wasimama dakika 3, nyimbo ya taifa, zawadi juu

 


Mchezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Aggrey Morris ameagwa kishujaa hii leo uwanja wa Mkapa akitundika daluga rasmi kunako Taifa Stars wakati wa mchezo wa kirafiki baina ya timu ya taifa ya Tanzania dhidi ya DR Congo. Morris amepewa jezi, mpira na hundi yenye thamani ya shilingi milioni tano.