TUJUZANE BLOG

Tanzania Entertainment News,Politics News ,Celebrity Gossip and Live Updates

PAKUA APP YETU YA TUJUZANE

Saturday, December 12, 2020

WATCH LIVE : MWADUI FC VS YANGA


FT: Mwadui 0-5 Yanga

Uwanja wa Kambarage 


Zinaongezwa dk 3

Dakika 90 Sarpong anafanya jaribio linaokolewa na Mbise

Dakika ya 80 Mukoko anaonyeshwa kadi ya njano 

Dakika ya 79 Kisinda anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 69 Lamine Moro goaaaaaal

Dakika ya 60 Kaseke nje ndani Niyonzima 

Dakika ya 62 Metacha anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 56 Kisinda goal 

Goal Yacouba dk 48

Kipindi cha pili 

Mapumziko 

Mwadui 0-2 Yanga

Dakika 3 zimeongezwa

Dakika ya 45 Mbise anaokoa hatari ya Tonombe Mukoko 

Dakika ya 43 Kisinda anapiga  kona inaanuliwa na Mwadui 

Dakika ya 42 Lamine Moro anapeleka mashambulizi 

Dakika ya 37 Kibwana Shomari anacheza faulo 

Mwadui 0-2 Yanga

Dakika ya 32 Lamine Moro anapewa huduma ya Kwanza 

Dakika ya 31 Yacouba anapiga  faulo


Dakika ya 30 Toto anachezewa faulo 

Dakika ya 28 Tonombe anapiga kona

Dakika ya 21Kibwana alimwaga maji hayakuzaa matunda 

Dakika ya 17 Toto anapiga kichwa ndani ya 18 kinamwenda nje


Dakika ya 13 Gooooooal Yacouba Songne 

Dakika ya 12 Ismail Ally anaotea kwa Mnata

Dakika ya 9 Kaseke on target inaokolewa na kipa wa Mwadui Mbisse

UWANJA wa Kambarage 

Ligi Kuu Bara 


Mwadui 0-1 Yanga

Goal Deus Kaseke dk 6


Dakika ya 3 Yacouba of target 


Dakika ya 2 Kaseke ameotea